Burudani

Picha: Huyu ndiye model wa video ya Dj Khaled anayedaiwa kutoka na T.I, ni moto

Video ya ‘Do You Mind’ imewavutia wengi kuweza kumfuatilia kwa ukaribu mode aliyetumika kwenye kichupa hiko kutokana na vile alivyoumbika. Mrembo huyo anafahamika kama Bernice Burgos lakini siku chache zilizopita aliingia kwenye kashfa ya kutuhumiwa kuwa na mahusiano na rapper T.I.

Hata hivyo mrembo huyo amepinga tuhuma hizo na kudai kuwa rapper huyo ni rafiki yake tu japo Tiny ambaye ni mke wa T.I anamshutumu muwmewe kutoka na model huyo.

Bernice ana umri wa miaka 36 ni raia wa Marekani lakini pia ana asili ya nchini Puerto Rico. Mrembo huyo anatumia jina la @realberniceburgos kwenye mtandao wa Instagram huku akaunti yake ikiwa na followers milioni 2.6.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents