Burudani

Picha: Huu ndio mjengo mpya watakaohamia Jay Z na Beyonce wenye thamani ya $40m uliopo Los Angeles

Jay Z na Beyonce wamepata mjengo mpya wa kifahari jijini Los Angeles watakaopanga baada ya ule wa mwanzo kuuzwa.

1006-jayz-bey-home03-480w

Mtandao wa TMZ umedai kuwa nyumba hiyo ina thamani ya dola milioni 45 na ipo kwenye maeneo ya Holmby Hills jijini humo.

Watakuwa wakilipa dola 150,000 kwa mwezi na watalipia kodi ya mwaka mzima.

Hizi ni picha zake.

1006-jayz-bey-home01-480w

1006-jayz-bey-home02-480w

1006-jayz-bey-home04-480w

1006-jayz-bey-home05-480w

1006-jayz-bey-home06-480w

1006-jayz-bey-home07-480w

1006-jayz-bey-home08-480w

1006-jayz-bey-home09-480w

1006-jayz-bey-home10-480w

1006-jayz-bey-home11-480w

1006-jayz-bey-home12-480w

1006-jayz-bey-home13-480w

1006-jayz-bey-home14-480w

jaybeyhouse-480w

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents