Burudani

Picha: Hutaamini mtoto wa kike wa P-Funk (tofauti na aliyezaa na Kajala) alivyokuwa mkubwa

“How time fly’s, My baby girl has become a woman,” ameandika P-Funk Majani aka ‘Dream Big’ kwenye picha ya mwanae mkubwa wa kike (jina lake halijapatikana mara moja) aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram. Mhh! Nani alitegemea kama producer huyo wa Bongo Records angekuwa na mtoto mkubwa hivi?

AMVCA-Trophy-
Mtoto wa kike wa P-Funk Majani

P-Funk ana mtoto mwingine mkubwa wa kike aliyezaa na Kajala aitwaye, Paulette.

d36f918eaad511e3b0d10ab858ac5219_8
Paulette(kulia) akiwa na mdogo wake (aliyebebwa) Victoria Kimani na meneja wake

Usishangae P kusikia amekuwa babu soon!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents