Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Burudani

Picha: Hizi ni picha 6 za Kim Kardashian wiki hii kwenye Instagram baada ya mapumziko ya wiki 13

By  | 

Mwezi Oktoba mwaka jana tulimshuhudia mrembo Kim Kardashian akijipa mapumziko kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupata matatizo ya kuvamiwa na majambazi mjini Paris na kuiba vitu vyake vyenye thamani ya dola milioni 10.

Baada ya kukaa mapumzikoni kwa wiki takribani 13 bila ya kuitumia akaunti yake kwenye mtandao huo, wiki hii mrembo huyo amekuja kwa kasi kwa kupost picha sita za familia yake ikiwemo mumewe Kanye West, watoto wao na nyingine akiwa mwenyewe.

Tazama picha zote hizo hapa chini:

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW