Burudani

Picha hizi 6 za Irene wa video ya Kwetu, lazima zikutoe mate

Mrembo wa video ya wimbo wa ‘Kwetu’ wa Rayvanny, Irene maarufu kwa jina la Lyyn kwenye mtandao wa Instagram anazidi kuwa mtamu kila kukicha.

Japo mrembo huyo ameonekana kuwa kimya kwa kipindi kirefu lakini kupitia picha alizoziweka kwenye mtandao huo Lyyn ameonekana kuzidi kunoga na kuwatoa udenda kwa kumfanya kila kidume rijali kumtamani. Tazama picha za mrembo huyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents