Burudani

Picha: Hili ni gari la zaidi ya shilingi milioni 100 analoendesha Shetta

Ukitaja wasanii wa Tanzania wanaondesha magari ya kifahari zaidi basi usisahau kumweka Shetta kwenye orodha.

12552411_103296070054864_1802301150_n

Mkali huyo wa Shikorobo anaendesha gari ambalo hutumiwa zaidi na mameneja au wafanyabiashara wakubwa – Land Rover Discovery, toleo jipya.

12543268_1702937133322117_729695074_n
Gari analoendesha Shetta

Tumegoogle kuangalia bei ya magari hayo Afrika Kusini na tumebaini kuwa ukitaka kupata hata lililotumika tayari, basi jikusanye kuanzisha na Rand 400,000 – 800,000.

12530712_526470680863929_922983365_n

Inategemea amenunulia wapi lakini kwa madafu kupata gari kama hilo huna budi kuwa na mpunga unaoanzia shilingi milioni 100 na kuendelea!

Na kama unadhani kuwa kununua gari hilo kumejeruhi mifuko ya rapper huyo, basi umekosea. Alipost picha hiyo chini kwenye Instagram japo ikiwa na caption tofauti, ujumbe ulifika.

12357746_119894181719407_2114998700_n

Muziki unalipa!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents