Burudani

Picha: Hili ni gari jipya la kifahari la Mrisho Mpoto?

Mrisho Mpoto amenunua gari jipya na la kifahari? Ni ngumu kuwa na jibu sahihi kwa sasa lakini hivyo ndivyo inavyoonekana kutokana na picha aliyoiweka Mwana FA kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha Mjomba akiwa pembeni ya gari aina ya Toyota Prado New Model ya rangi nyeusi. “Unaleta mchezo na Mjomba sio,” ameandika FA kwenye picha hiyo.

10255675_10152315259181001_2072835938830301636_n

Tatizo ni kuwa pamoja na kuwa na gari jipya, Mjomba bado havai viatu!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents