Burudani

Picha: Hii ni ishara kwamba Diamond na Zari wanatarajia kupata mtoto wa kike?

Zari the Bosslady ambaye anatarajia kuwa mama wa mtoto wa nne ambaye baba yake ni Diamond Platnumz, ameweka picha ambayo imezua hisia kuwa ni ishara ya jinsia ya mtoto wanayetarajia kumpata.

Zarimond

Kupitia akaunti yake ya Instagram Zari ameshare picha ya kivazi cha mtoto wa kike kilichoandikwa ‘Princess’ katika kipindi hiki ambacho ni mjamzito ikiwa ni ishara kwamba tayari wameshafahamu jinsia ya mtoto wanayetarajia kumpata na staa wa ‘Ntampata Wapi’ Diamond Platnumz.

Zari princess
Hakuandika chochote kwenye picha hii ya Instagram zaidi ya kuweka emoji ya kisura chenye makopa kwenye macho.

Lakini kupitia Facebook Zari amethibitisha kuwa anatarajia mtoto wa kike kwa kuandika:

“Good morning fam while another is sharing thier news of hooking up with a stripper/PornStar/Hooker as their latest catch. Allow me to share my amazing news…..here it is”

zari mtoto

Zari ni mama wa watoto watatu wa kiume aliowapata na mume wake wa zamani Ivan Ssemwanga.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents