Mitindo

Picha: Herieth Paul (Tanzania) kutokea kwenye jarida la Elle Canada, Nov 2014

Mwanamitindo wa Tanzania aishiye nchini Marekani, Herieth Paul ataonekana kwenye jarida la mwezi ujao la Elle Magazine. Hii si mara ya kwanza Herieth anatokea kwenye jarida la Elle Canada kwakuwa mwaka 2011 mrembo huyo alikava jarida kwa kichwa cha habari ‘Naomi, Move Over!’. Hizi ni picha zitakazoonekana kwenye jarida hilo.

IMG-20141021-WA0000

IMG-20141021-WA0001

IMG-20141021-WA0002

IMG-20141021-WA0003

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents