BurudaniPicha

Picha: Herieth Paul awa Mtanzania wa kwanza kushiriki kwenye fashion show ya Victoria’s Secret

Katika ulimwengu wa mitindo, mlimbwende kupata nafasi ya kushiriki show ya Victoria’s Secret, ni sawa na muimbaji kupewa nafasi ya kutumbuiza kwenye tuzo za Grammy.

3adefdd100000578-3987332-the_whole_squad_the_girls_all_sported_matching_ensembles_compris-a-15_1480556512635
Herieth Paul (wa saba kutoka kushoto akiwa na warembo wengine wa VS

Kwa mara ya kwanza, mlimbwende wa Tanzania, Herieth Paul ameungana na walimbwende wote maarufu duniani kwenye show hiyo kubwa, iliyopambwa kwa aina yake na kufanyika jijini Paris, Ufaransa.

15275499_648960498609978_3472359691630149632_n
Herieth Paul akiwa kwenye chumba cha make up

Aliungana na warembo maarufu wakiwemo Kendall Jenner, Gigi na Bella Hadid, Alessandra Ambrosio, Adriana Lima, Irina Shayk na wengine.

3ae53cac00000578-3987332-image-a-17_1480551619334

Kwenye show hiyo Lady Gaga, The Weeknd na Bruno Mars walitumbuiza.

15306512_1789802091232440_7693414105159303168_n
Herieth Paul akiwa na Maria Borges na Jourdana Phillips

Paul, mwenye miaka 20 amekuwa mmoja wa walimbwende hao takriban 30  walioshiriki kwenye show hiyo.

3ae6a7f300000578-3987332-image-a-103_1480542089490
Umemuona Herieth? Angalia vizuri katikati ya picha, yulee!!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents