Habari

Picha: Haya ndio majengo 10 yenye thamani zaidi duniani

Kwa mujibu wa mtandao wa Construction Global, haya ndio majengo 10 yenye thamani zaidi duniani:

1. Abraj Al Bait, Mecca, Saudi Arabia

Thamani yake ni dola bilioni 15

Likiwa na urefu wa mita 601, Abraj Al Bait ni hoteli ndefu zaidi duniani. Ina ukubwa wa mita za mraba, 1,500,000 na yenye uwezo wa kuchukua watu 100,000. Linajulikana pia kama Makkah Royal Clock Tower. Jengo hilo pia lina saa ndefu na kubwa zaidi duniani na linaweza kuonekana kutoka umbali wa kilomita 30.

2. Marina Bay Sands, Marina Bay, Singapore

Thamani yake ni dola bilioni 5.50

Kwa gharama ya dola bilioni 5.50, Marina Bay Sans ndio resort yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kujengwa. Inajumuisha majengo matatu yenye ghorofa 50.

3. Resorts World Sentosa, Singapore

Thamani yake ni dola bilioni 4.93

4. Emirates Palace, Abu Dhabi, UAE

Thamani yake ni dola bilioni 3.90

5.Cosmopolitan of Las Vegas, Las Vegas, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 3.90

6. One World Trade Centre, New York, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 3.80

7. Wynn Resort, Las Vegas, Marekani

Thamani yake ni dola bilioni 2.70

8. Venetian Macau, Macau, China

Thamani yake ni dola bilioni 2.40

9. City of Dreams, Macau, China,

Thamani yake ni dola bilioni 2.40

10. Princess Tower, Dubai, UAE

Thamani yake ni dola bilioni 2.17

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents