Burudani

Picha: Hawa ni watu wanaotuhumiwa kumvamia Kim Kardashiam Paris

Jumatatu hii polisi wa mjini Paris walidai kuwakamata watu 17 ambao wanadaiwa kuhusika katika tukio la ujambazi na kumpora mrembo Kim Kardashian mwezi Oktoba mwaka jana.

Kati ya watu hao waliokamatwa, watatu ni wanawake ambao nao wamehusishwa katika tukio hilo. Majambazi hao walidaiwa kuiba vitu vya thamani vya mke huyo wa Kanye West vyenye thamani ya dola milioni 10. Hizi ni baadhi ya picha za watuhumiwa hao waliokamatwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents