Burudani

Picha: Hamisa Mobeto amwonesha ‘mchumba’ wake

Mrembo ambaye ni mwanamitindo Hamisa Mobeto aka Hamisa Kadomo amemweka hadharani mpenzi wake aliyeuteka moyo wake.

hamisa-1

Hamisa ambaye aliwahi kukana kuwa na uhusiano na Diamond (Ingia hapa), ameshare picha akiwa na mpenzi wake Dj Majey, ambaye ni mmoja wa wakurugenzi wa Radio mpya E-FM. Picha hiyo ilisindikizwa na ujumbe mwanana wa kimahaba katika siku ya kuzaliwa ya Majey.

Hamisa na Majay

“Today my soulmate was born ……………………………………happiest birthday to the best guy in da world.
My heartBeat, My BestFriend, MyMshauri my kila kitu kwa kweli naona nikiendelea kuandika siwezi ata maliza️️️
Binadamu ninaye mpenda baada ya mama yangu.
I love this man right here.
I kissed a lot of frogs but he is the only prince”

hamisa na majay-2

Katika post nyingine Hamisa alishare picha nyingine wakiwa wameshikana mikono kwenye gari na kuandika mistari mingine ya makopa:

“See I know a little bit something good
Always comes out of a little bit something bad
And I wasn’t looking for someone new
Till you came down
Giving me the best that I’ve had

And now you’re on my skin
Body to body
Working me out
Yeah you, you play to win
Rocking me steady
Round after round
Oh oh oh oh

I wish you were my first love
‘Cause if you were first
Baby there would have been no second, third or fourth love
Woah oh oh oh
I wish you were my first love
‘Cause if you were first
Baby there would have been no second, third or fourth love
Woah oh oh oh I
#mahabaMahabanii”

Majey
Dj Majey

Dj Majey naye kupitia Instagram yake alishare picha ya Hamisa na kuandika “My beautiful driver (wife)”.

ww

Hamisa alizungumza na gazeti moja la Global Publishers na kusema kuwa yeye na Majey wana mipango ya kufunga ndoa.

“Ni kweli ni mpenzi wangu ambaye tunapendana sana na muda wowote kuanzia sasa tutafunga pingu za maisha kama mipango yetu ikikaa vizuri,”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents