Burudani

Picha: Gadner G Habash ajiachia kwenye swimming pool na mrembo.. si Lady Jaydee

Lady Jaydee na Gadner G Habash hawajawahi kukiri hadharani kuwa ndoa yao imevunjika licha ya magazeti mengi ya udaku kuandika hivyo. Kuna kila dalili kuwa yamemwayo ni kweli hasa baada ya mtangazaji huyo mkongwe kupost picha akiwa na mrembo aliyejifunga taulo kwenye bwawa la kuogelea.

10808404_779604428744267_190252715_n

Gadner ambaye kwa sasa anafanya kazi kwenye kituo cha redio cha EFM alipost picha hiyo bila kuandika chochote zaidi ya kuweka ’emoji’ ya mkono unaopunga.

Inaonekana kuwa tayari Captain ameshaamua kusonga mbele!

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents