Mitindo
Picha: Flaviana Matata sasa ni Mrs Massawe, jionee picha za harusi yake
Hatimaye mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata amekuwa Mrs Massawe.
Flavy na mpenzi wake wa siku nyingi Deogratius Massawe wamefunga pingu za maisha Jumamosi ya August 15, 2015 katika kanisa la St.Joseph ikafuatiwa na sherehe iliyofanyika Serena Hotel jijini Dar es salaam.
Photo Credit: Various Instagram Pages