Habari

Picha: Flaviana Matata Foundation yaadhimisha kumbukumbu ya ajali ya MV Bukoba kwa namna yake

Siku kama ya leo Mei 21,1996 katika ziwa Victoria, meli ya MV Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 walidaiwa kupoteza maisha, Flaviana Matata Foundation ikishirikiana na wadau mbalimbali Jumamosi hii wameadhimisha miaka 20 toka tukio hilo litokee kwa kufanya ibada pamoja na kuishauri serikali kuhusu usalama wa raia katika vyombo vya usafiri.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo,  Nape Nnauye , Flaviana Matata pamoja Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba  wakiwasha mshumaha
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye , Flaviana Matata pamoja Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba wakiwasha mshumaa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba, walikuwa wageni waalikwa wa tukio hilo.

Akizungumza katika tukio hilo, Flaviana Matata ambaye pia ni mmoja kati ya wahanga wa tukio hilo ambalo lilisababisha ampoteza Mama yake, ameitaka serikali kuyapa nguvu maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya MV Bukoba ili watu waweza kujifunza kuhusu majanga ambayo yanatokea bila kutarajiwa.

“Serikali inaweza kuitumia siku kama hii kwa kuelimisha jamii juu ya matukio kama haya, sambamba na kutoa elimu za kujiokoa. Flaviana Matata Foundation imekuwa ikielimisha jamii na kutoa mafunzo mbalimbali juu jinsi ya kujiokoa pale ambao matukio kama haya yanapojitokeza,” alisema Flaviana.

Kwa upande wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amesema atalichukua wazo la Flaviana Matata ili kuangalia ni namna gari serikali inaweza kulitumia tukio hilo kwa manufaa ya jamii.

“Yote aliyozungumza Flaviana serikali itayafanyia kazi, serikali kama serikali itakaa na kuangalia ni namna gani tunaweza kushirikiana na wadau ili kufanikisha hili swala,” alisema Nape.

Pia Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba, amempongeza Flaviana Matata pamoja na taasisi yake jinsi inavyojitoa kwa ajili ya kuelisha jamii kuhusu majanga mbalimbali.

Flaviana Matata na Waziri Nape wakiwasha mshumaha
Flaviana Matata na Waziri Nape Nnauye wakiwasha mshumaa

Flaviana Matata
Flaviana Matata

Mtangazai mahiri wa Clouds Fm, B 12
Mtangazai mahiri wa Clouds Fm, B 12

Shaffih Dauda
Shaffih Dauda

Viongozi wa wananchi waliojitokeza
Viongozi wa wananchi waliojitokeza

Wananchi wakiwasha mshumaha
Wananchi wakiwasha mshumaa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo,  Nape Nnaye akimkabidhi cheti mmoja kati ya vijana ambao walipokea mafuzo ya jinsi ya kujiokoa na matumisi sahihi ya vifaa vya kujiokolea
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akimkabidhi cheti mmoja kati ya vijana ambao walipokea mafuzo ya jinsi ya kujiokoa wakati wa majanga na matumizi sahihi ya vifaa vya kujiokolea

Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo,  Nape Nnaye
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira na Muungano Mh. January Makamba

4K0A7315

4K0A7316

4K0A7317

4K0A7322

4K0A7326

4K0A7328

4K0A7333

4K0A7335

4K0A7337

4K0A7340

4K0A7350

4K0A7365

4K0A7371

4K0A7372

4K0A7377

4K0A7379

4K0A7380

4K0A7383

4K0A7390

4K0A7404

4K0A7416

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents