Burudani

Picha: Flaviana Matata akitangaza nguo za Macy’s (chain ya stores za nguo Marekani)

Hakuna ubishi, Flaviana Matata ndiye model kutoka Tanzania aliyepata nafasi nyingi ya kutangaza bidhaa maarufu duniani. Miongoni mwa shavu alilopata ni pamoja na kutangaza nguo za msululu wa maduka makubwa ya nguo nchini Marekani ya Macy’s.

Macy’s, zamani R. H. Macy & Co. ni misululu wa maduka makubwa yanayomilikiwa na kampuni ya Marekani, Macy’s, Inc.

Hadi January 2013, maduka hayo yapo kwenye maeneo 798 nchini Marekani yanayouza nguo za aina zote. Tazama picha za Flaviana akitangaza nguo za kampuni hiyo kwenye website yao.

Flavy 3

Flavy 4

Flavy 5

Flavy 6

Flavy 7

Flavy 8

Flavy

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents