Burudani

Picha: Dj Khaled aanza kutengeneza video zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya

Rapper Dj Khaled amekuwa si mtu wa mchezo mchezo tangu alipoanza kufanya kazi zake kwa ukaribu na Jay Z mwaka jana – ameingia location kwa ajili ya kuanza kutengeneza video yake mpya iliyoiwakutanisha mastaa kibao wa muziki Marekani.

Video ambayo anaitengeneza rapper huyo inadaiwa ni ya wimbo wa ‘I’m the One’ ambao utapatikana kwenye albamu yake mpya ya 10 ‘Grateful’. Mastaa ambao wataonekana katika video hiyo ni pamoja na Justin Bieber, Chance the Rapper, Migos na Lil Wayne.

“#SHINING AND KNOWING IM SHOOTING A VIDEO FOR ANOTHER SUPER SMASH ANTHEM THATS TOP SECRET!! FAN LUV I PROMISE YOU IM GOING ALL OUT ! I GOT US!! @wethebestmusic @epicrecords @rocnation ???????????? #GRATEFUL THE ALBUM ITS COMING !!!,” ameandika Khaled kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao wa Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents