Burudani
Picha: Ditto ashoot video ya wimbo wake ‘Tuongoze Bidii’
Lameck Ditto ameshoot video ya wimbo wake mpya ‘Tuongeze Bidii’. Video inaongozwa na kampuni ya Redline Production. Hizi ni baadhi ya picha za uchukuaji wa video hiyo.