Burudani

Picha: Director Hanscana aanza kuringishia matunda ya kazi yake, apost picha akiwa ametandaza milioni kadhaa

Director Hanscana aliyefanya video mpya ya Vanessa Mdee na Barnaba ‘Siri’ , ameanza kuonesha cheche zinazoashiria kuwa kukaa kwake nyuma ya kamera sasa kumeanza kuzaa matunda.

hans na Olik
Hanscana (kulia) akiwa na Enos Olik wa Kenya (kushoto)

Baada ya kushoot video ya wimbo mpya wa Diamond Platnumz na Khadija Kopa wiki hii, Hanscana amepost picha kadhaa akiringishia vibunda vya noti za elfu kumi kumi na kuandika:

Hans-3
“@naytrueboy alinambia “Inabidi tupige hela ili wajinga watuchukie”

Hans-2
“Usingizi sinaaaa Agh bora nifanye maushamba ushamba tu”

Hans-1
“Sitodharau masela kwa Pesa Mbuzi ya mchele”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents