Burudani

Picha: Di’Ja awaonesha mwanae na mume wake kwa mara ya kwanza

Msanii wa Nigeria, Di’Ja ambaye yupo katika label Marvin Records inayomilikiwa na Don Jazzy, amekuwa msiri sana kwenye jambo zima la kuonesha familia yake. Msanii huyo ambaye jina lake halisi ni Hadiza Blell, aliweka picha hizi kwenye Instagram akiwa na mume wake na mtoto wao kwa mara ya kwanza.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents