BurudaniDiamond Platnumz

Picha: Diamond azikonga nyoyo za Wakenya kwenye show kubwa ya kampuni ya simu

Tunahisi kama unaanza kuchoka na habari za Diamond, lakini hatua aliyofikia staa huyo wa My Number One, hauwezi kumwepuka. Ndiye msanii wa Tanzania anayeandikwa zaidi kwenye vyombo vya habari na kila siku ataendelea kutawala headlines. Jana alikuwa amealikwa kwenye hafla iliyokuwa imeandaliwa na kampuni ya Safaricom ya Dealer of the Year Awards, jijini Nairobi.

Tazama baadhi ya picha ya show hiyo.

IMG_0832 (640x426)

IMG_0833 (640x426)

IMG_0849 (640x426)

IMG_0868 (640x426)

IMG_0884 (640x426)

IMG_0910 (640x426)

IMG_0945 (640x426)

IMG_0947 (640x426)

IMG_0986 (640x426)

IMG_0987 (640x426)

IMG_0997 (640x426)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents