Diamond Platnumz

Picha: Diamond amzawadia mama yake ‘Toyota Harrier Lexus’ kama zawadi ya birthday

Hitmaker Diamond Platnumz jana amemzawadia mama yake gari aina ya Toyota Lexus kama zawadi yake ya birthday katika hafla iliyofanyika nyumbaki kwake Sinza, Dar es Salaam ambapo pia alifuturisha na pia kuonesha kwa mara ya kwanza video zake mbili mpya, Mdogo Mdogo na Bum Bum.

IMG_2135
Zawadi ya gari Toyota Lexus kutoka kwa Diamond kwenda mama yake

IMG_2136
Gari mpya ya Mama Nasib

Ujumbe wa Diamond kwenda kwa mama yake
Ujumbe wa Diamond kwenda kwa mama yake

Wadau wakiangalia video mbili  za Diamond kwa mara ya kwanza
Wadau wakiangalia video mbili za Diamond kwa mara ya kwanza

Wadau wakichua futari
Wadau wakichukua futari

Wadau wakichukua futari
Wadau wakichukua futari

Walter Chilambo
Walter Chilambo

Wema akipata kinywaji na mama mkwe wake
Wema akipata kinywaji na mama mkwe wake

Aunt Ezekiel akiwa na wadau
Aunt Ezekiel akiwa na wadau

DJ Ziro, Babu Tale na Shetta
DJ Zero, Babu Tale na Shetta

Madee
Madee

Mama Diamond akihojiwa baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari
Mama Diamond akihojiwa baada ya kukabidhiwa zawadi ya gari na meneja wa Diamond, Batu Tale

Mama Diamond akiwa kwenye gari alilozawadiwa
Mama Diamond akiwa kwenye gari alilozawadiwa

Mama Diamond akiwa kwenye gari aliyozawadiwa na mwanae
Mama Diamond akiwa kwenye gari aliyozawadiwa na mwanae

Mama Diamond
Mama Diamond

Martin Kadinda
Martin Kadinda

Mkubwa Fella akichukua chakula ili kwenda kufturu
Mkubwa Fela akichukua chakula ili kwenda kufuturu

Msanii wa filamu Mtunisy
Msanii wa filamu Mtunisi

Ndugu na jamaa wakiangalia video za Diamond kwa mara  kwanza
Ndugu na jamaa wakiangalia video za Diamond kwa mara kwanza

Proffesor Jay
Proffesor Jay

DJ Ziro, Babu Tale na Shetta

IMG_2004

IMG_2008

IMG_2012

IMG_2013

IMG_2014

IMG_2016

IMG_2018

IMG_2019

IMG_2023

IMG_2025

IMG_2029

IMG_2036

IMG_2041

IMG_2042

IMG_2048

IMG_2049

IMG_2060

IMG_2063

IMG_2065

IMG_2078

IMG_2085

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents