Burudani
Picha: Chege,Temba na Madee washoot video South
Wakata mkaa wenye roho mbaya, Chege na Temba na swahiba wao Madee wameshoot video ya wimbo wao waliourekodi hivi karibuni nchini Afrika Kusini. Video hiyo imeongozwa na Adam Juma.
Wasanii hao wamepost picha kadhaa za uchukuaji wa video hiyo kwenye Instagram.
Madee na Chege akiwa kwenye pozi
Adam Juma, Chege, Temba na Madee