Michezo
Picha: Caster Semenya asherehekea ndoa na mchumba wake Violet Raseboya
Kama unakumbuka mwanariadha mwanamke wa Afrika Kusini mwenye utata mwingi Caster Semenya alifunga ndoa ya kitamaduni na mchumba wake Violet Raseboya mwaka 2015.
Na sasa wawili hao wamefanya sherehe kubwa kufurahia fungate lao la ndoa mbele ya ndugu na jamaa. Sherehe hiyo imefanyika Jumamosi hii mjini Pretoria.
Tazama picha zaidi: