Picha

Picha: Calender ya Nonini ya Colour Kwa Face

Nonini 2

Katika kampeni yake dhidi ya vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa walemavu wa ngozi nchini Kenya, mgenge Nonini ametoa kalenda maalum za Colour Kwa Face ambapo mapato yote yatakayopatikana kutokana na mauzo ya kalenda hizo ama kwa kuangalia video ya wimbo ‘Colour Kwa Face’ yataenda kusaidia kampeni hiyo.

Hii ni picha ya mwezi February katika kalenda hiyo.

February Model: ESTHER NJERI GATHU.
Photography: JAMES GICHANGA.
Make Up: PETER MUKONGA.
Fashion Designers: JOHN KAVEKE & BARBARA KIAMA
Facilitator: ISAAC MWAURA (A.S.K)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents