Bongo Movie

Picha: Bongo5 Media Group Yafuturisha Wadau

Jana jioni ilikuwa zamu ya Bongo5 Media Group kupitia www.bongo5.com kufuturisha wadau wake wa burudani ambapo baadhi ya wasanii, wacheza filamu na wadau wa karibu walijumuika pamoja katika viunga vya City Garden Restaurant katikati ya jiji kufungua kinywa.

Angalia nani na nani walitokelezea.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents