Usiku wa jana mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka kupitia kampuni yake ya Vitu Vya Khadija Events & Clothing aliandaa party yenye jina Bongo Black Ball: Celebrating Tanzanian Music na kuwaalika wadau mbilimbali wa masuala ya fashion nchini. BBB iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, ilihudhuriwa na mastaa na wadau kibao kwenye fashion industry nchini. Hizi ni picha za BBB. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linex na Mwasiti.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Mothers Day special: Mastaa wa Tanzania na watoto waoMay 14, 2017 - 11:25 am
-
Ifahamu ratiba kamili ya majeruhi wa Lucky Vincent wanaoenda Marekani asubuhi hiiMay 14, 2017 - 9:46 am