Burudani

Picha: Birdman na Toni Braxton ni kweli wapo katika mahusiano ya kimapenzi

Wakati wa utoaji wa tuzo za muziki za BET mwaka huu palikuwa na matukio mengi yaliojiri nyuma ya pazia, moja yamatukio ni muendelezo wa tetesi ambazo zimesambaa mitandaoni kuwa Birdman,rapper na mmiliki wa music label ya Cash Money Records kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na staa wa miondoko ya Pop na R&B,Toni Braxton.

toni-and-birdman-dpdp-02

Kuna mashuhuda mbali mbali wameuambia mtandao wa TMZ,kuwa wakati zoezi la utoaji tuzo za BET likiendelea,wawili hao walionekana pamoja backstage wakishikana mikono huku wakionekana ni watu wenye hisia za kimapenzi.

rs_1024x759-160627051908-1024.Birdman-Toni-Braxton-BET-Awards-JR-062716
Birdman na Toni Braxton wakiwa katika tuzo BET,Award 2016

Uvumi huo ulinza baada ya show ya Toni Braxton jijini Atlanta mnamo June 2,2016 ambapo rapper Birdman alijumuika nae kwa kupanda jukwanii Birdman (41) na Toni Braxton (48). Lakini wawili hao hadi saivi bado hawajazungumza chochote juu ya tetesi hizo za kuwa na mahusiano ya kimapenzi ambazo zimeenea mitandaoni.

Toni-Braxton-Birdman
Birdman na Toni Braxton walivyo kuwa jijini Atlanta mnamo June 2,2016

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents