Habari

Picha: B 12 wa Clouds FM alivyosheherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto yatima

July 22 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mtangazaji wa kipindi cha XXL Hamis Mandi aka B12.

b1

B dozen aliamua kusheherekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto yatima wa kituo cha ‘Chakuwama’ kilichopo Sinza Meeda, kwa kufuturu pamoja na kukata keki pamoja nao, huku nakiwa amesindikizwa na Bob Juniour, Shilole na wengine..

b2

b3

b4

b16

b8

b9

b10

b14

b11

b12

b13

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents