Burudani

Picha: AY kushoot video ya pili leo nchini Marekani

Baada ya kushoot video ya kwanza nchini Marekani ya wimbo aliomshirikisha Sean Kingston, leo rapper AY anashoot video ya pili.

Ms. Triniti, Sean Kingstone na AY

AY amesema video anayoshoot leo ni ya wimbo wake ‘It’s Goig Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia Good. “Na-shoot ‘It’s Goin Down’ leo kila kitu kinaenda sawa na director ni Tim Burton and Chris Mckehnie,” AY ameiambia Bongo5.

AY akiwa ameweka pozi kwenye gari
AY akiwa ameweka pozi kwenye gari

AY akiwa katika kujiandaa kuanza kushoot video
AY akiwa katika kujiandaa kuanza kushoot video

IMG-20141021-WA0000

IMG-20141021-WA0003

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents