BurudaniPicha

Picha: AY, Barnaba wawafuata Mwana FA, Dimpoz na wengine gym

Miaka ya hivi karibuni mastaa kibao wametambua umuhimu wa kufanya mazoezi kujiweka vizuri kiafya na stamina.

15046838_1107166519405099_2046687689050161152_n
Producer mkongwe wa Bongo Records, P-Funk Majani ni miongoni mwa mastaa wanaonyanyua vyuma

Japo huko nyuma walianza kadhaa wakiwemo wakongwe kama P-Funk Majani, Diamond, Jux na wengine, huenda Mwana FA anaweza kuwa ni rapper aliyewavutia wasanii wengine kibao kuingia gym kutengeneza miili yao.

10012494_429915483881655_65048294_n

Ommy Dimpoz naye ameingia kwenye orodha hiyo ya wahudhuriaji wazuri wa gym.

14624427_1322400974567816_3698905197720895488_n

Na sasa gym zimepata members wapya. Ni AY na Barnaba. Kama ulibahatika kukutana na AY hivi karibuni utagundua kuwa alikuwa amegain sana kiasi cha wengi kumshauri aanze kufanya mazoezi na sasa ameuzingatia na kuanzisha mkakati wa kuupunguza mwili wake.

Akipost picha akiwa kwenye gym, AY ameandika: Monday- Saturday #HitTheGymBeforeMasinema 90kgs –> 85kgs now heading to 75kgs Really Quick.. Blessings kwa @arnoldluciano & @ibra_carter.”

15043636_188534121550938_1140817754190774272_n
AY akiwa gym

Naye Barnaba yupo kwenye mkakati kama huo na amekuwa akionesha safari yake mpya ya mazoezi kupitia Instagram.

15057129_223378938090951_8670512928706789376_n

15035096_210377479406490_877976578993160192_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents