Burudani

Picha: Avril wa Kenya na kivazi cha mitego kilichomuweka kwenye ‘headlines’ weeked iliyopita

Avril , mwimbaji mrembo wa Kenya weekend iliyopita alimua kuonesha kile Mungu alichomjaalia (uzuri) kwa kuvaa kivazi cha ‘mitego’ alipotumbuiza kwenye tamasha la Extravagaza Concert.

av4

Arvil alishare picha hizo Instagram na kuandika kwenye moja wapo ya picha “Awesome night at #ExtravaganzaKE !!! Thank you @achieotigo for the fabulous dress shirt. Let me sit and see the comments ..#SheerStockings #KwaWanaoElewa *takes popcorn*

av3

av2

av1

Hizi ni baadhi ya comments katika moja ya picha hizo:

miss_cicily Yeea ungevaa stockings just for some little dignity #team avril though

betty.haty whats that yu wearing seriously

philonjesh Seriously ungeenda uchi ata

biancafid #teamavril.. Love ur personality… But gallll that wasn’t u i saw all nude… Want the avril i know back! God have mercy..

benarspaquex254 @theavieway meeehn…that dresscode is #Eyesight_freezing makes me wana stare at thoz sexy legs…..

nickymunew Ni macho yangu mbayaaaaaaa ama ni simu yangu imeanza tabia ya kuvua watu nguo!

Kabla ya kupanda jukwaani alikuwa amevaa hivi

av5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents