Burudani

Picha: Avril amrithi Vanessa kwenye show ya Ommy Dimpoz, Nakuru

Ommy Dimpoz alikuwa msanii pekee kutoka Tanzania aliyetumbuiza kwenye show ya ‘It’s Our Time to Part On’ iliyofanyika mjini Nakuru, Kenya kwenye mkesha wa mwaka mpya.

IMG-20150101-WA0014
Ommy Dimpoz na Avril wakitumbuiza ‘Me And You’

Wasanii wa Kenya waliotumbuiza ni pamoja na Wyre, Avril, Jaguar, Juacali na Nameless.

Ommy Dimpoz alifanikiwa zaidi kuzikonga nyoyo za wapenda burudani wa Nakuru, pale alipomchukua Avril ambaye anatokea kwenye mji huo kutumbuiza hit single yake, Me and You aliyomshirikisha Vanessa Mdee.

Thank you Miss Avril ulitisha sana kwenye Me & U salute,” aliandika Ommy Dimpoz kwenye Instagram na mrembo huyo kujibu, “was such a pleasure sharing a stage with the incredible @ommydimpoz last night. #E.APamoja #MyCityMyTown #HappyNewYear!!.”

“@vanessamdee tried to represent you, I hope I did a good job,” aliongeza.

Tazama zaidi picha za show ya Ommy Dimpoz.

IMG-20150101-WA0016

IMG-20150101-WA0007

IMG-20150101-WA0008

IMG-20150101-WA0009

IMG-20150101-WA0010

IMG-20150101-WA0011

IMG-20150101-WA0012

IMG-20150101-WA0013

IMG-20150101-WA0015

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents