Bongo Movie

Picha: Aunt Ezekiel ni mama kijacho?

Picha ya Aunt Ezekiel kwenye Instagram imeibua mjadala huku mashabiki wake wakisema ni mjamzito.

Aunt Ezekiel akimlisha keki JB
Aunt Ezekiel akimlisha keki JB

Picha hiyo ya Aunt Ezekiel ilipigwa katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa.

Hivi ndivyo baadhi ya mashabiki wake walivyoandika:

Ayshasunshin :Your pregnancy congratulations

Mrkhalfan1:
haaa we una mimba na hilo bonge lenye miwani pia lina mimba.hapana chezea

Ney_mike:
Jamani Dada, matusi yote ulokuwa unaporomosha juzi kumbe una kiumbe tumboni? Pls love usifanye hivyo tena mpenzi tunafundishwa kuwa watoto wanasikia kila kitu wakiwa tumboni na kukifunza. Hata wakikutukana don mind them mpenzi wangu wala usijibizane nao binadamu ndivyo tulivyo. Nakupenda Sana aunt Mungu akuzidishie maisha

Jweekendy_girl
: Mbona km mama kijacho Aunty Ezekiel katoto ndo katazidi kuwa kazuri jamani tuletee tu aunty

Mamibeuty: Wow mum kijacho look gud my dia congrlnt

Florencia_sebakala: Kitumbo kimekupendeza
Khadijamohamedi: Hapana chezea mama kijacho,ulipendza xna

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents