Picha: Aunt Ezekiel na mume wake kwenye harusi ya Dubai

Aunt Ezekiel na mume wake Demonte

Apparently, Aunt Ezekiel aka Rahma amefunga ndoa rasmi huko Dubai. Hizi ni picha tulizozipata toka kwenye website ya Sintah zinazomuonesha akiwa na mume wake huyo aitwaye Demonte. Mume anaonekena bado kijana mdogo lakini, ama macho yetu tu!! What do you think guys? Hongera Aunt.

Just got married!

Add a comment

comments