Burudani

Picha: Anne Kansiime awasili Dar, tazama alivyopokelewa JNIA

Mchekeshaji Anne Kansiime amewasili Alhamis hii jijini Dar es Salaam tayari kwa burudani kali hapo August 2 kwenye ukumbi wa Golden Tulip. Mkali wa huyo wa kuchekesha na sanaa za majukwaani Afrika Mashariki, aliwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere majira ya saa kumi jioni kwa ndege ya shirika la Rwanda.

4K0A4316
Anne Kansiime akisindikizwa na walinzi baada ya kuwasili

Anne anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari hapo Ijumaa saa tano kamili asubuhi kwenye ukumbi wa Sports Lounge uliopo Posta, na Jumamosi atasalimiana na mashabiki katika viwanja vya Mlimani City. Burudani ya hiyo ya Anne, ambayo itasindikizwa na Fredi Omondi kutoka Kenya na Pilipili wa Tanzania, huku ikinogeshwa na bendi ya ODAMA, imeandaliwa na kituo cha Radio 5.

Tazama picha zaidi na mchekeshaji huyo akiwasili Dar.

4K0A4328

4K0A4297

4K0A4348

4K0A4349

4K0A4299

4K0A4317

4K0A4320

4K0A4323

4K0A4326

4K0A4331

4K0A4334

4K0A4340

4K0A4341

4K0A4345

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents