BurudaniPicha

Picha: Amini afunga ndoa na msanii Namcy Vana wa Kantangaze

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka THT, Amini Mwinyimkuu jana June 22 ameukacha ukapela kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir maarufu kama Namcy Vana aliyeimba ‘Kantangaze’.

1
Amini akiwa na mkewe
Ndoa hiyo imefanyika nyumbani kwa Namcy, Magomeni Dar es Salaam.

IMG-20140622-WA0021

Tunampa pongezi Amini kwa hatua hiyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents