Burudani

Picha: Amini aagwa rasmi THT baada ya kupata usimamizi mpya

Msanii wa muziki Amini Mwinyimkuu a.k.a Amini aliyekuwa chini ya usimamizi wa THT ameagwa rasmi usiku wa jana Nov.10 baada ya kupata usimamizi mpya wa kampuni ya BME.

Ditto na Amini
Ditto akipokea cheti kwa miaba ya mwalimu wake

Amini ambaye alianzia safari yake ya muziki ndani ya THT na kudumu kwa muda wa miaka 10, ameagwa na THT na kupokelewa na BME huku akiahidiwa kufikishwa mbali zaidi na kampuni hiyo mpya.

IMG_7118
Mr Newton kutoka kampuni ya BME

Amini akizungumza katika sherehe hiyo ya kuagwa, aliwashukuru na kuwakabidhi zawadi walimu waliomfundisha muziki pamoja na mkurugenzi wa THT Ruge Mutahaba.

Amini akiwa na dada yake
Amini akiwa na dada yake

Amini akiwa na mwalimu
Amini akiwa na mwalimu

Mke wa Amini
Mke wa Amini
Katikati ni msanii wa muziki Amini akiwa na mke wake pamoja na mtu wao wa karibu
Amini akiwa na mke wake pamoja Mwinjaku wa Mahusiano

Ruge akiwa na Amini
Ruge akiwa na Amini

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents