Burudani

Picha: Amina Issa aibuka Serengeti Super Nyota Diva Shinyanga

Shindano la Serengeti Super Nyota Diva Shinyanga mwaka 2014 limemalizika kwa Amina Issu kuibuka mshindi na kuwapiku wenzake tisa waliokuwa kwenye kinyang’anyiro hicho.

DJ Fetty akimpongeza mshindi wa Shinyanga Super Nyota Diva 2014
DJ Fetty akimpongeza mshindi wa Shinyanga Super Nyota Diva 2014

Shindano hilo lililokuwa na majaji watatu lilikuwa na raundi tatu mpaka kumpata mshindi huyo ambaye ataungana na wenzake wa mikoa mingine kwenda Dar Es salam kushindana na kumpata mmoja atakayefanya kolabo ya Diamond.

Baadhi ya washiriki wakisubiri kuimba
Baadhi ya washiriki wakisubiri kuimba

Majaji wa serengeti super nyota Diva, kutoka kushoto ni Chuse, DJ Fetty na DJ Hunter
Majaji wa serengeti super nyota Diva, kutoka kushoto ni Chuse, DJ Fetty na DJ Hunter

IMG_6092
Lugha Kali wa Clouds Tv akifanya yake katika kumpata serengeti Super Diva Shinyanga 2014

DJ Fetty akimpongeza mshindi wa Shinyanga Super Nyota Diva 2014
DJ Fetty akimpongeza mshindi wa Shinyanga Super Nyota Diva 2014

DJ Fetty akizungumza na Super Nyota Diva Shinyanga
DJ Fetty akizungumza na Super Nyota Diva Shinyanga

DJ Fetty ambae ni mmoja kati ya majaji
DJ Fetty ambae ni mmoja kati ya majaji

Fainali ya serengeti Super Nyota Diva Shinyanga,  Edina kushoto na Amina
Fainali ya serengeti Super Nyota Diva Shinyanga, Edina kushoto na Amina

Jaji Chuse Jonten
Jaji Chuse Jonten

Shinyanga Super Nyota Diva wakisubiri kuanza kwa shindano
Shinyanga Super Nyota Diva wakisubiri kuanza kwa shindano

IMG_5996

IMG_5997

IMG_5998

IMG_6003

IMG_6008

IMG_6009

IMG_6015

IMG_6020

IMG_6041

IMG_6052

IMG_6053

IMG_6057

IMG_6060

IMG_6063

IMG_6066

IMG_6068

IMG_6069

IMG_6072

IMG_6076

IMG_6078

IMG_6081

IMG_6090

IMG_6095

IMG_6099

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents