Burudani

Picha: Alikiba azindua video ya Lupela, mastaa wenzie wampa kampani

Alikiba amezindua video ya wimbo wake Lupela Alhamis hii kwenye hoteli ya Slipway jijini Dar es Salaam.

Alikiba akiongea mbele ya wageni waalikwa
Alikiba akiongea mbele ya wageni waalikwa

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na mastaa kibao walioenda kumpa kampani. Video hiyo iliyofanyika nchini Marekani na sehemu ya mradi wa Wild Aid inamuonesha Kiba akicheza dance ya kukata na shoka na msichana mrembo wa Kimarekani aliyechukua uhusika wa Lupela.

Alikiba akiwa na mtangazaji wa Clouds TV Shadee
Alikiba akiwa na mtangazaji wa Clouds TV Shadee

Mastaa waliouhudhuria uzinduzi huo ni pamoja na Weusi, Wema Sepetu, Jokate, Vanessa Mdee, Lady Jaydee, Navy Kenzo, Ommy Dimpoz, Mr Blue, Mwana FA, Barakah Da Prince na wengine.

Pia walikuwepo watangazaji mbalimbali kama B12 na Perfect Crispin wa Clouds FM, Dulla wa EA Radio na wengine. Mama yake Alikiba pamoja na dada yake nao walikuwepo.

Tazama picha hapo chini.

Shadee

Alikiba muda mfupi baada ya kuwasili ukumbini

Alikiba na Ommy Dimpoz

IMG_2317

IMG_2318

IMG_2329

IMG_2331

IMG_2332

IMG_2335

IMG_2338

IMG_2340

IMG_2344

IMG_2347

IMG_2350

IMG_2352

IMG_2353

IMG_2358

IMG_2359

IMG_2361

IMG_2367

IMG_2370

IMG_2371

IMG_2374

IMG_2378

IMG_2382

IMG_2383

IMG_2385

IMG_2388

IMG_2390

IMG_2392

IMG_2394

IMG_2400

IMG_2401

IMG_2403

IMG_2405

IMG_2406

IMG_2407

IMG_2409

IMG_2410

IMG_2412

IMG_2414

IMG_2416

IMG_2422

IMG_2423

IMG_2426

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents