Burudani

Picha: Alicia Keys na Swizz Beatz wanatarajia kupata mtoto wa pili

Familia ya Alicia Keys na Swizz Beatz inazidi kuwa kubwa. Mastaa hao wametangaza kuwa wanatarajia kupata mtoto wao wa pili.

Akitumia mtandao wa Instagram, Alicia aliweka wazi habari hiyo njema na kuweka picha akionekana na kitumbo pamoja na mume wake.

“Happy Anniversary to the love of my life @therealswizzz!!” aliandika muimbaji huyo mwenye miaka 33. “And to make it even sweeter we’ve been blessed with another angel on the way!! You make me happier than I have ever known! Here’s to many many more years of the best parts of life!”
Swizz pia alishare habari hizo pia kupitia Instagram na kuandika:

“Love is life & life is love and we’re so excited for another GIFT from up above. Happy Anniversary my Goddess 4 years of greatness & cheers to 100 plus more inshallah.”

Wawili hao walipata mtoto wao wa kwanza Egypt October 2010. Swizz pia ana watoto watatu katika mahusiano yake ya mwanzo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents