Burudani

Picha: 50 Cent amchana Floyd Mayweather ‘Nelly kakuchukulia demu wako’

50 Cent ameendelea kumtupia maneno ya shombo aliyekuwa rafiki yake, Floyd Mayweather kwa kumwambia kuwa demu wake ni kweli amechukuliwa na rapper Nelly.

shantel-nelly-together-00-480w
Nelly na Shantel

50 na Floyd walikuwa marafiki wa karibu lakini walikosana na sasa wamekuwa wakitupiana vijembe kwenye mitandao ya kijamii. Ilianza baada ya 50 kupost picha ya mpenzi wa zamani wa Floyd, Shantel Jackson na kuandika: “CHAMP I ain’t gonna lie this motherf**ker bad. You need to start operation GET THE B*TCH BACK. Right now!!!”

Kisha aliweka picha nyingi Miss Jackson akiwa na Nelly na kuandika: “Nelly put this up @floydmayweather DAMN da n**ga really took your lady Champ.”

Hadi sasa Mayweather hajajibu kitu.

Hizi ni picha zingine za Nelly na Shantel.

shantel-nelly-together-07-480w

shantel-nelly-together-01-480w

shantel-nelly-together-02-480w

shantel-nelly-together-03-480w

shantel-nelly-together-04-480w

shantel-nelly-together-05-480w

shantel-nelly-together-06-480w

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents