Picha
Photos: Pool Party – Regency Park Hotel
Prezzo, Avril na Mwana FA walikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza jana kwenye Pool Party iliyofanyika Regency Park Hotel jijini Dar es Salaam. Wasanii hao walitumbuiza huku baadhi ya watu waliohudhuria wakiendelea kuogelea kwenye swimming pool ya hoteli hiyo iliyopo maeneo ya Mikocheni B.
Prezzo kwenye stage[/caption]
Pool Party iliandaliwa na SK Entertainment na Unity Entertainment.