Picha

Photos: Chidi Beenz ang’ara katika Bongo Starz Nite

Chidi Beenz a.k.a Chuma kutoka pande za Ilala aliperform katika Bongo Starz Nite ndani ya Club Bilicanas jana usiku, huko akisindikizwa na baadhi ya majembe yake katika tasnia ya muziki wa Hip Hop na Bongo Flava.

Usiku wa Chidi Beenz ulianza majira ya saa saba kwa wasanii Banana, Ngwea, baada ya hapo alipanda mnyama, Top In Dar (TID), Mr Blue “Bayser”, na mwishoni balozi wa Ilala Chidi Beenz alimaliza shughuli na hits zake mbali mbali.
Cheki picha za what went down maeneo yale ya Club Bilicanas kati kati ya jiji la Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents