Picha

Photos: B-Ball Kitaa Allstar Weekend – Gymkhana Grounds, DSM

Mashindano ya B-Ball Kitaa jana yalikuwa na weekend ya mastaa wote (BBall Kitaa Allstar Weekend) kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam ambapo kulikuwa na mashindano ya kudunk, mitupo ya pointi tatu, mechi ya maveteran vs mastaa na mechi kubwa ya mastaa wote wa kikapu walioshiriki kwenye mashindano hayo mwaka huu. Hizi ni picha za matukio ya jana.

Baraka akiwa juu ya goli baada yakudanki.
Baraka akiwa juu ya goli baada ya kupiga mkuno (kudunk)

DSC_5264
Mechi ya Allstars

DSC_5265
Wachezaji wakiwa kwenye benchi

DSC_5270
Mmoja wa washiriki wa Slum Dunk akimaliza kupiga mkuno kwa kutuka pikipiki

DSC_5274
Mchezaji akiwa chini baada ya mkuno

DSC_5280

DSC_5281

DSC_5283
Kama air Jordan vile

DSC_5287
Wachezaji wakiwa na warembo wa Sprite

DSC_5292
Chidi Benz akiperform

Fid Q
Fid Q akifuatilia game

Jokate katika,Gymkhana B,Ball kitaa
Jokate Mwegelo

Majaji wakiwachaguwa wachezaji ambao wanadanki.
Andrew Mahiga alikuwa miongoni mwa majaji wa shindano la slum dunk

Mchezaji akiwa anapatiwa huduma ya kwanza baada ya kuanguka uwanjani.
Mchezaji akiwa anapatiwa huduma ya kwanza baada ya kuanguka uwanjani

Mshindi wa kudanki akikabidhiwa zawaji na warembo wa Sprite.
Mshindi wa kudanki akikabidhiwa zawaji na warembo wa Sprite

Vanessa akiwa na rafiki zake
Vanessa Mdee akiwa na rafiki zake

Wakazi na rafiki yake
Wakazi na Leah Tsere

Cpwaa ndani ya B,ball kitaa jana Gymkhana
Cpwaa ndani ya B-Ball kitaa jana Gymkhana

DSC_5258

DSC_5262

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents