Michezo

Peter Cech ashinda tuzo moja kwa mara ya 9

Golikipa namba moja wa klabu ya Arsenal, Peter Cech ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Jamhuri ya Czech kwa mwaka 2016. Hii ni mara 9 mchezaji huyo anashinda hiyo tuzo.

Cech ambaye saivi anamiaka 34, ameshastaafu kuichezea timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech tangia mwaka jana baada ya michuano ya Euro nchini Ufaransa, amestaafu akiwa ameichezea timu hiyo mechi 124.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents