Burudani

Pam D afiwa na baba yake mzazi

Msanii wa Bongo Fleva, Pam D aka Pam Daffa amefiwa na baba yake mzazi. Mzazi huyo alikuwa ni mmoja kati ya watu muhimu katika kipaji chake cha muziki kwa kuwa mzee huyo na yeye aliwahi kuwa msanii.

Kupitia mtandao wa Instagram, Pam D ameandika:

R.I.P Papaaa #my lovely father kipenz changu #Rafiki yangu Mkubwa ,mtani wangu Mkubwa, umeondoka umeniacha mwenyewe nilitamani vitu vingi uje uone toka kwa mwanao. #nani atanipigia gitaa tena papaa #maumivu uloniachia na pengo uliloniachia hakuna wa kuliziba. Umeondoka mapema mno papaa#Munguakuwekee mahali pema peponi.TAMBUA NAKUPENDA SANA, PAM LOVES YOU DAD #R.I.P Papaaa. Daaaah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents