Burudani

P-Square waweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 Youtube kupitia video ya ‘Personally’

Video ya hit single ya ‘Personally’ imelifanya kundi la mapacha wa Nigeria, P-Square kuweka rekodi ya kuwa wasanii wa kwanza wa Afrika kufikisha views milioni 30 kwenye mtandao wa Youtube.

Video hiyo ambayo iliongozwa na kaka yao Jude Engees Okoye na director mkubwa wa Nigeria, Clarence Peters ilipandishwa Youtube June, 2013. Mpaka sasa imefikisha views 30,235,808 na kuwa ndio video ya msanii wa Afrika iliyotazamwa zaidi muda wote.

Source: MTV Base

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents