Burudani

P-Funk Majani akoshwa na Harmorapa

Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa Harmorapa ameteka vichwa vya habari kuliko hata Harmonize ambaye ndiye mtu ambaye wamekuwa wakifananishwa naye. Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini P-Funk Majani ameonekana kukoshwa na rapper huyo chipukizi.

Alhamisi hii zilienea picha mitandaoni zikimuonyesha Harmorapa akiwa ameshika mabunda ya hela na kuwashtua mashabiki huku wengine wakibakia midomo wazi. Majani naye ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho.

Kupitia mtandao wa Instagram, Majani ameweka picha ya rapper huyo na kuandika, “Chezea @harmorappa wewe!!! Levo zingine hizi!!!????.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents